WAZIRI GWAJIMA AWATWIKA WAZEE JUKUMU LA MALEZI

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima akizungumza na wazee wanaume waliohudhuria hafla ya Harambee ya kukiimarisha Chama cha Wazee Wanaume Tanzania iliyofanyika jijini Arusha. Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima akimkabidhi Kiongozi Mkuu wa Chama cha Wanume Tanzania mchango